Askali Magereza mwenye namba za usajiri B50004 ndugu Elias Bukwima amejipiga risasi na kufa papo hapo.Marehemu Elias alijifyatulia risasi tatu kichwani kwake kwa kutumia bunduki aina ya Smg yenye namba za usajiri D61220 aliyokuwa nayo siku hiyo ya tukio kazini kwake.habari zaidi.....Maiti ya askari huyo imehifadhiwa katika hospitali ya Rufaa ya Bugando huku polisi wakiendelea kufanya uchunguzi kubaini chanzo cha mauaji hayo.
0 Comments