Kweli sisi watu wenye asili ya Afrika tuna mbegu nzuri na zenye nguvu,ukiangalia hawa watoto wote wana umri mmoja ila huyoo bidada wa Kinyamwezi anaonekana kuwa ni mkubwa zaidi yao.Sasa huwa najiuliza kweli hii ni mbegu nzuri au mambo ya misosi?Pichani ni madada wa Blog wakituonyesha hali ya baridi jinsi ilivyokuwa leo hii asubuhi,ebu cheki nyuma yao chini ya ardhi jinsi ilivyojaa barafu.
0 Comments