Nakumbuka suala la Ubaguzi wa Dini na Kabila halikupewa nafasi kabisaaaa katika Uongozi wa huyu Babu yangu,ila sasa kuna watu wanaounda vyama vyao kwa itikadi hii ya Ukabila na Udini..kwa upande wangu watu kama hawa kura yangu wataikosa tu.Hatukukulia kwenye mambo ya Ukabila wala Udini iweje leo hii watu waje na mfumo huo?Acheni mara moja jamani,tuangalie nchi za wenzetu wanavyouana kwa mambo ya ukabila na udini.