Hii ni mfano wa hundi ya pesa atakazopewa yoyote atakayeshinda fainali usiku wa leo.Je nani kuondoka na donge nono kama hilo?jibu utalipata kwa kuangalia live kwenye luninga lako,au nenda mwenyewe kwenye Ukumbi ukajionee mtu mwenye kipaji cha kuimba akikabidhiwa hundi yake.