WABUNGE HII MNASEMAJE?

VIONGOZI WANGU KUMBUKENI.

HAPA NI DAR KWELI HAKI HII?

Mbunge anagombea ubunge kwa ahadi ya kumpatia mwalimu Laptop,Je kwa nyumba kama hii laptop ina maana gani kwake ?Kumbuka kumfanya mwalimu mjinga wakati yeye ndiye aliyekupa elimu ni Ujinga na Ukatili wa nafsi.

Najaribu kukumbushia naomba nisieleweke vibaya,najua waswahili kwa Nongwa hatuwezekani.