Sio kama sijui jina lake laahasha,Anaitwa NANI..Ni mchezaji wa timu kubwa sana duniani yenye masikani yake nchini Uingereza,timu inayopendwa na kila mmoja mpaka viongozi wakubwa.Naiongelea MANCHESTER UNITED.Pichani kijana Nani akionyesha si mpira tu anaoumudi hata Sarakasi kwake kama kazi,je mwenzangu na mie vipi waweza kujibirua kama Nani?