Hivi wasanii wanapopata nafasi kama hizi za kukutana na Raisi wa nchi kilio chao cha kuibiwa kazi zao huwa wanakifikisha kwa Muheshimiwaaaa au stori tu?Pichani Profesa Jay na Mwana Falsafa walipokutana na muheshimiwa raisi katika mnuso fulani Ikulu hivi karibuni.Blog inawashauri msanii yoyote anappata nafasi kama hii ni kumaliza kila analoona kwake ni kero,raisi ndiye mwenye sauti ya mwisho katika maamuzi.
0 Comments