Raisi mstaafu Al-Haji Ali Hassani Mwinyi akimtunukia stashahada ya heshima ya udaktari wa afya ya jamii katika chuo kikuu cha sayansi na Afya Muhimbili Dar es Salaam Raisi wa jamuhuri wa Muungano waTanzania Mh Jakaya Kikwete.