Kwa nchi kama Somali kifo kwao ni kitu cha kawaida,toka miaka ya tisini watu wanauana kwa kupigana wenyewe kwa wenyewe,ila kwa Dini ya Kiislam mtu ambaye hukuoa na ikathibitika umefanya vitendo viovu vya uzinzi hali kama hiyo pichani huwa si ya kushangaa.Hiyo ni hukumu ya dini ya Kiislamu ambayo haina mjadala kwa mtu atakayejisalimisha kuwa kweli alizini."Upigwe mawe mpaka ufe"na wanakupiga mawe lazima wawe hawajawahi kuzini na wanajiamini kuwa ni safi kwa MOLA wao.
0 Comments