Msani wa kizazi kipya Inspekta Haroun `Babu`Enzi zake alikuwa Inspekta wa ukweli kwenye Game ya muziki,lakini hivi sasa kwenye sanaa hiyo naweza kusema hasikiki tena na kuhisi kama jina la Babu alilojibatiza uenda likawa na mtazamo sahihi.vijana wengi waliokuwa wakinyimwa nafasi na kufichwa vipaji vyao hivi sasa hali imegeuka na kuonekana vingine kabisaa kwani wanafanya mambo yanayokubalika kwenye sanaa hii ya sasa.Pichani Insekta Haroon Enzi hizoo akionyesha manjonjo kwa staili ya kipekee.