Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto