Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Emmanuel Ole Naiko(pichani), amesema serikali itaendelea kusaidia wajasiriamali wazalendo ili waweze kukuza biashara zao.Haya wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi jitahidini kuwekeza,Serikali imeshawapa nafasi zitumieni vyema.