Wafanyabiashara ambao sio raia wa Tanzania,waliojazana hapo jijini Dar wakisukuma mkokoteni kupeleka bidhaa zao madukani wanakofanyia biashara hizo.Kutokana na kubana kila sekta hawataki hata mchezo wa kumpa ajira hata mzalendo mmoja na kazi ya kusimamia kila kitu wanajifanyia wao.Pichani wachina hao wakisukuma mkokoteni mtaa wa Msimbazi jijini Jana.
1 Comments