Waziri wa mambo ya nje wa Belgium ameshauri watu kutokwenda Tunisia kipindi hiki.Tunisia nchi iliyopo Kaskazini mwa Afrika ambayo imekuwa ikijizolea watalii wengi kipindi cha mapumziko,hivi sasa imekuwa na maanadamao na vurugu mitaani na kufanya wananchi kuwa na wasiwasi na maisha yao.Makampuni kama Thomas Cook na Jetair yamekuwa yakiwarusha wateja wao nchini mwao wakitoke nchini Tunisia kwa kuwaokoa na majanga hayo yanaendelea kwenye baadhi ya miji nchini Tunisia.kwa habari zaidi unaweza kubofya hapa kwa lugha ya Kinyamwezi http://www.deredactie.be/cm/vrtnieuws.english/news/110114_Tunisia