Kijana mdogo ambaye anajipa matumaini kwa siku za usoni anaweza kuwa bingwa wa dunia katika mchezo wa Sumo akijaribu kumuangusha mzee mzima mwenye kilo zaidi ya 280 nchini Japani.Hapo kama anasukuma mlima vilee...