Akiwa na uso wa furaha bidada Leyla atimiza miaka 2 na kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
Picha yake Pozii bwanaa,hapo bidada hakujiangusha kwa kuachia moja ya pozi kali kusubiria Flash,Blog inampogeza sana bidada Leyla kwa kunyakua miaka 2 akiwa anaanza kuongea maneno mawili matatu.

Mzaa chema akisaidia kuzima mishumaa ili keki ipate kuliwa vyema,bidada Leyla hakuta kuzima mishimaa yake na kudai kuwa yeye ni malkia kwa siku hiyoo,hivyo kila kitu alikuwa akifanyiwa na mama yake mzazi. Pichani chini mama mzazi'Mzaa chema' akilishwa keki na mtoto wake kuashiria kazi aliyoifanya mpaka hapo sio mchezo..Hongera bidada Leyla na Hongera wazazi wa Leyla kwa kazi nzuri ya ulezi(kulea).