Ukiwa nchini China uombe MUNGU uende na kurudi salama,maana ukifanyiwa chochote cha kumshitaki raia wa China na kupelekwa Mahakani mbilinge inakuja pale pa kumtambua aliyekukosea maana wanaweza kukuletea watu sita wanafanana vilevile ole wako ukosee kesi inakugeukia.