Mvua hizo zilianza kunyesha saa nne asubuhi jana katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Baadhi ya barabara zilizojaa maji ni zile za kati ya Jiji eneo la Posta, barabara ya Ali Hasani Mwinyi eneo la Salender na maeneo mengine ya nje ya Jiji ambapo magari yalikuwa yanapita kwa tabu.
0 Comments