Ilichukua dakika mbili na sekunde 25 raundi ya pili kwa bondia Nonito Donaire kumaliza blah blah za bondia Fernando Montiel.Pichani Bondia Nonito kushoto alipompa kombora la mwaka bondia Fernando na kumpeleka chini,na alipojaribu kuinuka baada ya kuhesabiwa na refa aliongezwa kombora zingine mbili tu ambapo bila refa kusimamisha mchezo yangekuwa mengine.Kwa sasa Nonito Donaire ndiye bingwa wa dunia WBC katika uzito wa bantam.