Baada ya kumbwaga aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Lord Eyes,Ray C sasa atangaza rasmi kuwa yupo na Mpenzi wake mpya anayejulikana kwa jina la Mr Masasi,Raha kujipa mwenyewe usingoje kupewa...