Bwana Pagan Amam,ametangaza kuwa nchi ya Sudan imebadili jina na na kuanzia tarehe 9 julai mwaka huu itajitangaza rasmi kama SOUTH SUDAN na sio Sudan kama ilivyozoeleka.Katika kura za maoni zilizopigwa hapo awali juu ya nchi hiyo iitwe jina gani kati ya majina haya,Nile Republic na jina lingine Crush asilimia 99 walipitisha jina la South Sudan.Haya wanandugu jhabari ndio hiyo.
0 Comments