Je hawa ni wezi wa maji?,Mafundi vishoka?,au wezi wa mabomba? majibu yote ya maswali utaweza kujijibu kwa nyakati tofauti kulingana na hii picha hapo juu.Kama ni mafundi mbona hawana hata sare za kazi zao?Inakuwaje shirika kubwa kukosa sare za watumishi zake? Yangu macho na mkono kwenye shavu...
0 Comments