Tunapozungumzia usalama barabarani sio kwa nchini kwetu peke yake,kila mmoja ni jukumu lake kujimudu yeye na wanaomzunguka katika jamii juu ya suala zima la usalama barabarani.Pichani ni nchini China baada ya mwendesha pikipiki kugongwa na gari alipokuwa akijaribu kuipita,waliolala chini ni mwendesha pikipiki na mkewe wakiwa hoi kujaribu kupatiwa msaada.
0 Comments