Haya maandishi ndiyo yameshageuka na mshikaji naye kaona isiwe tabu kwa nini afeli Intavyuu??Wataalamu wa IT Mr Mrisho Maganga kule Mwanza na Itangigomba kule Arusha tusaidieni maandishi yakigeuka tufanyeje?yasije yakatukuta na sisi then tukatapika kwa kubinuka.
0 Comments