Tumeshasahau kuwa wenzetu wa Japan juzijuzi tu walikubwa na dhoruba kubwa na tetemeko la ardhi.
Yani tumesahau kabisaa kwamba hao wenzetu ilikuwa kama kiama chao,angalia jinsi gari zilivyosambazwa na kimbuka cha maji na kuufanya mji kuonekana kama unatakataka za makaratasi kumbe ni magari.
Hapa hata huwezi kudhania kwamba kulikuwapo na reli ya treini.
0 Comments