Goli moja la ugenini lililofungwa na mchezaji wao nyota Jerome Ramatlhakwama katika dakika ya 54 dhidi ya Chad liliifanya timu hiyo kufanikwa kufaulu kupita katika hatua hiyo itakayoipeleka timu hiyo kushiriki mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika South Africa ifikapo mwakani 2012.
Kikosi kamili cha timu ya Botswani ambacho kwa mara ya kwanza kimefanikiwa kufaulu kucheza kombe la mataifa ya Africa mwakani 2012 nchini South Africa baada ya kuifunga timu ya taifa ya Chad kwa goli 1 - 0 jumamosi iliyopita nchini Chad.
0 Comments