Chris Brown alikua anafanya interview kwenye kipindi cha Good Morning America,na alikua na muongoza kipindi Robin Roberts,wakiwa live on-air aliulizwa swali kuhusiana na kumpiga ex-girlfriend,Rihanna mwaka 2009
Chris Maurice Brown aka Chris brown,alifanya kituko baada ya kumaliza kufanya interview na kituo cha TV cha ABC nchini Marekani baada ya kuvunja kioo cha dirisha
Alipomaliza kupiga show wakati anarudi dressing room,alikua anapiga kelele na kuchana shati lake then alimalizia hasira zake kwa kuvunja kioo cha dirisha kwa kutumia kiti na ilibidi Security waitwe na watu wa make-up,lakini walipofika Chris Brown alikua ameshaondoka pande hizo!
0 Comments