Kwa kweli ni hali ya kusikitisha sana pale unapoona wanakufa watu wasio na hatia.Tusipokaa chini na kuwashauri viongozi wetu wa Africa nini cha kufanya tusije kusita ajabu siku moja na sisi tumu ndani ya maafa haya.Mungu tunusuru na vizazi vyetu.