Rais Barrack Obama wa Marekani amesema kwamba Marekani huenda ikachukua hatua ambazo bado hajazitaja kumshurutisha Rais Ghaddafi kujiuzulu.Rais Obama alikuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ikulu ya White House ambapo alimtaka Rais Ghaddafi kung'atuka malakani mara moja.