Hello wapenzi wa Maganga One Blog,Napenda kuwatangazia kuwa kwa msomaji yoyote wa blog hii atakayefikia kuwa msomaji wa 5000 atajinyakulia set ya Tv na kutumiwa nyumbani kwake.Nitawatangazia kwa yoyote atakayekuwa amegonga kufikia namba hiyo.mpaka kufikia tarehe 17 machi saa sita mchana mchezo utakuwa umefungwa.nawatakia kila mmoja heri ya ushindi huo.
                              Ahsanten,Maganga One.