Ni hali ya kawaida kwa kiongozi yoyote anapozuru nchi nyingine kupokelewa kwa ngoma au utamaduni wa nchi ile anayokwenda.Jijini Rio De Janeiro mambo huwa tofauti kila anapotembelea kiongozi yoyote nchini mwao,Barack Obama raisi wa Marekani alishangaa sana kuona jinsi wakina mama wanavyolicheza samba kwa ustadi mkubwa na kukiri hajawahi kuona burudani ya ngoma za asili kama zile.Pichani kina dada wakitoa burudani ya nguvu kwa raisi huyo.