Wanafunzi viziwi wa Shule ya Msingi Msasani mjini Dar es Salaam wakimshukuru mfadhili wao Peter Jessen (katikati) baada kuwakabidhi madawati takribani 70, meza 20, vitabu 100, kalamu, vichongeo na kuwajengea choo cha kisasa chenye matundu mawili vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 13.
0 Comments