Pichani kulia bondia Sugar Jackson raia wa Belgium juzi ijumaa usiku alimchakaza vilivyo bondia toka Spain José del Rio na kushinda pambano lake la  34 kati ya mapambano 38 ya kimataifa aliyokwishawahi kucheza.Na bondia José ni pambano lake la pili anapoteza kati ya mapambano 13  aliyocheza awali.Pambano lilifanyika katika ukumbi wa Arena Hall mjini Antwerpen(Belgium).