Viongozi wa umoja wa ulaya Eu (European Unions) wamekaa kikao juzi kulijadili suala la raisi anaepingwa na baadhi ya wananchi wake nchini Libya bwana Muammar Gaddafi.Akizungumza na vyombo vya habri raisi wa Ufaransa Nicolaus Sakozy alisema suala hili ni lazima tulipe kipaumbele na kulipatia suluhisho kwa haraka.Na waziri mkuu wa Uingereza bwana David Cameron amesema kuwa bwana Gaddafi kuendelea kuongoza Libya ni kinyume na sheria na lazima aondoke.