Mchezaji mwenye chenga na mbio za ajabu Messi wa Barcelona akiipangua vilivyo ngome ya Real Madrid na kufunga goli la kwanza kwa timu yake hapo jana.Barcelona iliifunga Real Madrid goli 2 - 0 na kusonga mbele kwenye UEFA champions.
Messi wa Barcelona akiwashukuru washabiki kwa kumshangilia hapo jana,Messi  jana alikuwa nyota wa mchezo kwa kupachika bao 2 peke yake.Ushindi wa Barcelona jana umefanikisha timu yao kusonga mbele.