Mjane wa marehemu , Ismail Omary , Asia Mussa (aliyebeba mtoto mgongoni)
akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni 5,na mratibu wa Baraza la
Vijana la Chama
Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) , Ephata Nanyaro , ikiwa ni rambirambi
iliyotolewa na Mfanyabiashara na Kada maarufu wa CCM ,Mustapha Sabodo kama
rambirambi kwa familia hiyo baada ya mume wake kupigwa risasi na Polisi wakati
wa maandamano ya amani ya Januari 5 mwaka huu jijini Arusha ,
(katikati ) Katibu
wa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini , Godbles Lema , Mgonja (Picha na
Grace Macha)maelezo toka katika jukwaa la wanabidii.
0 Comments