MAELFU YA WATU TOKA KILA KONA DUNIANI WALIKUWEPO KUFURAHIA
PRINCE WILLIAM AKIMVISHA PETE MKEWE PRINCESS KATE
HII NI KUONYESHA WATU WAMEGUSWA KIASI GANI,WANANUNUA VIKOMBE NA PICHA
PETE YA MKE YENYE DIAMOND KIBAOO TOKA KULEEEE NA YA MUME YENYE GOLD YENYEWE NAYO TOKA KULEEE,HIZI ZILIKUWA PETE ZA UCHUMBA TU.
TABASAMU KWA KILA MMOJA LILITAWALA MIDOMONI MWAO
FULL SHANGWE MITAANI,WATU WALIFURIKA KISAWASAWA KAMA UNAVYOWAONA.
0 Comments