Polisi wa kitengo cha usalama wakifungua kuangalia kilichomo ndani ya gari,na kubaini magunia yaliyojaa bangi,hapo wakiyashusha baada ya kupata taarifa juu ya lori hilo.
 Vutaa,Vutaaaa mmmmh,yani ilikuwa kazi ya ziada hapo,vuta ni kuvute lori limejaza bangi.
Kwa harakaharaka ni magunia 17 yaliyojaa GANJA(bangi)ambayo hapo yalikuwa yakishushwa toka kwenye Lori ambalo lilishukiwa kuwa na madawa hayo yakuitoa fahamu ya mwanadamu.Picha zote na Gsengo.