Mcheza filamu za kitanzania(Bongo movies)Steven Kanumba ametangaza rasmi nia yake ya kujiweka sawa katika ulmwengu wa filamu baada ya kupata nafasi ya kufanya kazi ya ku'act pamoja na superstar wa ki'Nigeria Ramsey Tokunbo hivi karibuni.
Ndugu Ramsey Tokunbo akiwa amepozi katika moja ya filamu zake alizocheza siku za nyuma.Ramsey yupo tayari kucheza na bwana mdogo wetu Steven Kanumba.Tunaisubiri kwa hamu filamu hiyo.
0 Comments