Mkoa ninaoishi mimi kuna bahari..Hivi karibuni serikali ya mkoani kwangu imetoa kibali maalumu cha kuruhusu watu kutembea bila nguo wakiwa huko beach(baharini)bila ya matatizo yoyote.Serikali imehakikishia wananchi wake ulinzi wa kutosha na kusema kila mmoja ana uhuru wake binafsi ili mradi asivunje sheria na taratibu za kule baharini.Pichani kama unavyojionea mambo yakianza kwa kasi na kudhihirisha kuwa hali hiyo imepasishwa bila matatizo.
0 Comments