Rais mpya na aliyekuwa akitambulika kisheria duniani bwana Alassane Ouattara akila kiapo cha utiifu na uaminifu katika uongozi wake.bwana Ouattara kwa sasa ndiye rais wa Ivory Coast.
Hapa ilikuwa ni Dec 10 mwaka jana 2010 Ouattara Alassane alipotangazwa kuwa ameshinda uchaguzi mkuu na kumshinda bwana Laurent Gbagbo ambaye hakuyakubali matokeo na kwenda kujiapisha mwenyewe,pichani akipongezwa na jamaa na ndugu wa karibu kwa ushindi huo.
0 Comments