Pichani mbwa akinusa kila begi la abiria anayesafiri Airport ya Nice nchini France.Yani kuuliwa kwa Osama Bin Laden imekuwa tabu zaidi ya shida kila unapotaka kusafiri hizi Airport za wenzetu.