Baada ya kufunga ndoa tarehe 29/4/2011 siku iliyofuata wakitokea London walipanda ndege kwenda visiwa vya Seychelles kwa ajili ya Honeymoon.Namzungumzia Prince William kulia na Princess Kate William kushoto.