Waungwana wanadai tusiache Mila zetu na kuiga za wazungu,hivi hapa kiukweli kuna usalama kweli?mabwana Afya mie simo nawakumbushia tu,Kuna kujivua magamba au mvuliwe?
Post a Comment
1
Comments
Badface said…
Hakuna ubaya, ile ningekuwa mimi kama mshiriki katika hiyo group, ningekuwa nakunywa na kurudishia humo humo. Kwani nani angejua?
1 Comments