| Bidada Johan ambaye ametimiza miezi 10 akiwa na bonge la tabasamu kwa watoto wenzake. |
| Kwa ustadi kabisa ndani ya miezi kumi bidada Johan ameanza kupiga hatua za harakaharaka na kusimama bila kuyumba,anafurahisha sana kwa kila hatua anayokwenda. |
| Johan anakwambia kwenye Kochi anaweza kupanda na kukaa mwenyewe bila ya kubebwa,Simnaonaaaa??? |
| Na hapo kwenye meza ya msosi Johan huwa habaki nyuma kwani anapenda Mtori huyooooo...... |
0 Comments