Imekuwa kama ni jumba la makumbusho sasa kwani kila mmoja anawasili kuona nini kilikuwepo humo.Kama unavyojionea watu na waandishi wa habari wakiizunguka nyumba hiyo na kupeana habari za hapa na pale.