Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Kijiji kipya cha Uswisi kilichopo jimbo la Makunduchi wakati alipotembelea Kizimkazi Mkunguni akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja. (Picha na Ramadhan Othman).