Timu zote nazipenda ila MANCHESTER UNITED ZAIDI,Je nani kutoka kifua mbele na kombe mkononi?usikose kuangalia mechi hii muhimu usiku wa leo.
Na huu ndio uwanja wa WEMBLEY ambao utachezewa fainal hii ya leo.Uwanja huu ni maalumu saana kwa shughuli muhimu tu,na mara nyingi hata kama ikichezwa mechi basi huwa mechi muhimu sana kama mechi ya leo.
0 Comments