Utafiti uliofanywa na kampuni kubwa ya Microsoft, unaonyehsa uhalifu huo umeongezeka mara 12, ikiwa ni pamoja na hali inayojulikana kama mashambulio ya 'phishing', wakati ambapo wahalifu hutumia ujumbe unaoelekea kuwa ni halali, ili kuweza kuwahimiza watumiaji mtandao kutoa maelezo yao ya kibinafsi ambayo kwa kawaida huwa ni ya siri.
Waandishi wa BBC wanaelezea kwamba kutokana na umaarufu wa mitandao ya kijamii, sio ajabu kwamba sasa wahali wameanza kuangazia upande huo katika kuwalenga watumizi.
0 Comments