Angalia hiyo picha ukiambiwa kwamba ni nyumba zaidi ya mia moja zimekuwa majivu unaweza kuamini?
Sijui idadi ya watu waliokufa ila kiukweli waungwana kwa wale wanaotuita waoga tukubaliane nao na kudumisha uoga wetu ili tukae na Amani yetu  milele.Kumbukeni Ufisadi na mengineyo mengi yatakwisha kwa njia ya Amani tu,kuliko kuiga wenzetu wanaopoteza mali zao,ndugu zao na hata watoto wao kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.